Huduma ya CT-SCAN sasa inapatikana.

Posted on: September 28th, 2022

Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Morogoro sasa inatoa huduma ya CT-SCAN karibuni sana kwa huduma bora na ya viwango vya juu, tuko tayari kukuhudumia.